Wafanyakazi wa I&M Benki wakisherehekea pamoja na wateja maadhimisho ya wiki ya wateja huku wakiwa katika mavazi ya utamaduni ambapo siku ya Jumatano oktoba 7 ndio maadhimisho rasmi ya utamaduni wa Afrika. Wafanyakazi wa I&M Benki wakisherehekea pamoja na wateja maadhimisho ya wiki ya wateja huku wakiwa katika mavazi ya utamaduni ambapo siku ya Jumatano oktoba 7 ndio maadhimisho rasmi ya utamaduni wa Afrika. Wafanyakazi wa I&M Benki wakisherehekea pamoja na wateja maadhimisho ya wiki ya wateja huku wakiwa katika mavazi ya utamaduni ambapo siku ya Jumatano oktoba 7 ndio maadhimisho rasmi ya utamaduni wa Afrika. Wafanyakazi wakiwa pamoja na wateja wa benki ya I&M siku ya Jumaatano ambapo benki hiyo iliadhimisha kilele cha Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kukata keki na wateja wao waliotembelea benki siku hiyo. Licha ya kukata keki pia benki ilichukua fursa ya kutembelea wateja wa kila ngazi, kutoa zawadi kama shukrani kwa wateja pamoja na kuvaa mavazi ya aina mba...